Hello! Karibu HASCAVELA

Muonekano wa Giza:

Msaada

Taarifa za mteja zinazohitajika ili kuweza kujisajili kwenye tovuti ya hascavela.

  1. Jina Kamili
  2. Kila mtumiaji ili aweze kujisajili kwenye tovuti hii ni lazima aweke majina yake kamili, jina la mwanzo na jina la ukoo.

  3. Jinsia
  4. Tarehe ya Kuzaliwa
  5. Tovuti hii inatoa huduma mbalimbali kwenye rika zote. Lengo la kupata tarehe ya kuzaliwa ya mteja ni kujua umri wa mteja wetu ili kumpatia huduma.

  6. Email
  7. Namba ya simu
  8. Kwa watumiaji waliopo ndani ya Tanzania pekee:

  9. Mkoa
  10. Wilaya
  11. Neno la Siri
  12. Taarifa zote kama zilivyotajwa hapo juu zitakusanywa kutoka kwa mteja kwa hiari yake atakaporidia kutumia huduma zetu.
    Taarifa hizi zitatunzwa kwa siri na ni mteja pekee anaweza kuziona taarifa zake na anaweza kufanya marekebisho yoyote kwenye taarifa zake muda wowote.
    Taarifa hizo zitatunzwa katika kipindi chote ambacho mteja anaendelea kutumia huduma zetu.
    Pindi mteja atakapoamua kutokuendelea kutumia huduma zetu anaweza kufuta akaunti yake na taarifa zote zitafutwa kwenye database.
    Jinsi ya kufuta Akaunti yako.Taarifa zote kama zilivyotajwa hapo juu zitakusanywa kutoka kwa mteja kwa hiari yake atakaporidia kutumia huduma zetu.
    Taarifa hizi zitatunzwa kwa siri na ni mteja pekee anaweza kuziona taarifa zake na anaweza kufanya marekebisho yoyote kwenye taarifa zake muda wowote.
    Taarifa hizo zitatunzwa katika kipindi chote ambacho mteja anaendelea kutumia huduma zetu.
    Pindi mteja atakapoamua kutokuendelea kutumia huduma zetu anaweza kufuta akaunti yake na taarifa zote zitafutwa kwenye database.
    Jinsi ya kufuta Akaunti yako.

  13. Username