Sababu kuu ya wanaume kulala baada ya tendo la Ndoa
Wanaume ujikuta wakiwa na uchovu mwingi baada ya Tendo la ndoa na kuishia kulala ili kupata mapumziko. Hali hii ni Tofauti kwa wanawake. Je nini sababu hasa ya hali kwa wanaume?... Soma Zaidi
Maumivu ya Tumbo chini ya Kitovu kwa Wanawake, Sababu na Tiba
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa mwanamke yana sababu mbalimbali. Kuna hali ya kawaida na wakati mwingine si hali ya kawaida. Zifahamu sababu hizi za mara kwa mara ujue jinsi ya kukabiliana nazo.... Soma Zaidi
Kutokwa na Uchafu/Harufu sehemu za Siri kwa Mwanamke, Ni Ishara ya nini?
Utete unaotoka sehemu za siri kwa mwanamke ukibadilika rangi au kutoa harufu ambayo si ya kawaida. Zifahamu hali mbalimbali na madhara yake kenye afya yako.... Soma Zaidi
Ufahamu ugonjwa wa Bawasili, Madhara yake na Jinsi ya kujikinga
Ufahamu ugonjwa wa Bawasili (Viuvimbe au Vinyama vinavyo jitokeza kwenye njia ya haja kubwa). Nini sababu zake, Nini madhara yake na Ni hatua gani uzichukue kujikinga na tatizo hili?... Soma Zaidi
Maumivu wakati wa Tendo la Ndoa kwa Wanawake
Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha mwanamke kupata maumivu wakati akishiriki Tendo la ndoa. Zifahamu sababu hizi za mara kwa mara zinazoweza kusababisha mwanamke kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.... Soma Zaidi
Sababu za kukosa Hedhi kwa Mwanamke baada ya Kuvunja Ungo
Kupata Hedhi ni utaratibu wa asili kwa mwanamke kila mwezi baada ya kuvunja Ungo. Inapotokea kukosa Hedhi kuna maswali mengi ya kujiuliza. Mbali na kuwa mjamzito kuna sababu hizi pia zinaweza kusababisha.... Soma Zaidi
Yafahamu Mambo haya muhimu kuhusu Uvimbe kwenye Kizazi kwa Mwanamke
Uvimbe kwenye kizazi ni moja kati ya matatizo ya uzazi ambayo huwasumbua asilimia kubwa ya wanawake. Yafahamu mambo haya muhimu kuhusu tatizo hilo la uvimbe kwenye kizazi. ... Soma Zaidi
Shinikizo la Juu la Damu (Presha ya Kupanda) Mambo hatarishi na Jinsi ya kujilinda
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yamekua Tishio kwa sasa kama vile Shinikizo la Damu (Presha/BP). Fahamu tabia na vitu hivi hatarishi na jinsi ya kujilinda.... Soma Zaidi