Muonekano wa Giza:

Msaada

picha inaonesha mwanamke akiwa amekunja sura kuonesha kama anapata maumivu na mwanaume pembeni akiwa katika mshangao.

Dalili za hatari kwa mjamzito

Ni muhimu kwa wajawazito na wenza wao kuzifahamu dalili ambazo zinahashiria hali ya hatari kwa ujauzito ili kuwahi haraka kwenye kituo cha afya kwaajili ya matibabu ya haraka.
Uonapo dalili hizi kwa mjamzito anatakiwa kuwahi hospitali haraka iwezekanavyo kaajili ya uchunguzi zaidi.

Dalili hizo kama vile:

Kutokwa na damu ukeni:

Kifafa:

Maumivu makali ya kichwa ambayo huambatana na kutoona vizuri:

Homa na kujihisi mchovu sana kiasi cha kushindwa hata kuamka kitandani:

Maumivu makali ya tumbo:

Kupata shida ya kupumua au kupumua haraka haraka:

Pia uonapo dalili hizi japo si ka haraka sana ila unatakiwa kufika hospitali mapema kwa uchunguzi zaidi.

Dalili hizo ni kama vile:
Homa.
Maumivu ya tumbo.
Kujihisi kuumwa umwa.
Kuvimba kwa uso, vidole vya mikono na kuvimba miguu.

1
0
1