Muonekano wa Giza:

Msaada

Pichani wanaonekana mwanamke na mwanaume wakiwa wamesimama na mwanaume akiwa nyuma ya mwanamke na wote washikilia kwa mikono yao yoye tumbo la mwanamke ambaye ni mjamzito.

Mimba ya miezi mitatu inakuaje?

Shauku ya wajawazito wengi ni kutaka kujua maendeleo ya mimba toka siku anajugundua kuwa ni mjamzito mpaka siku ya kujifungua.
Ili kufahamu hayo yote kuhusu maendeleo ya mimba kwanzia mwezi wa kwanza mpaka mwezi wa tisa, fuatilia tovuti yetu kufahamu zaidi.
Katika makala hii tufahamu kuhusu mimba ya miezi mitatu inakuaje.
Kama una mimba ya miezi mitatu tarajia mambo haya yafuatayo:

Kichefuchefu:
Kichefuchefu na kutapika japo kwa baadhi ya wajawazito hali hiyo hupotea miezi mitatu ya ujauzito.

Kupata choo kigumu:

Kuhisi tumbo kujaa gesi:

Kupata kiungulia:

Matiti kuvimba, kuwasha na kuongezeka weusi sehemu ya chuchu:

Kuwa na uchovu kuliko kawaida:

Kizunguzungu na kichwa kuuma.

Kuongezeka kwa hamu ya kula na kuchagua vyakula mbalimbali:

Mabadiliko ya kitabia:

Kuongezeka kwa uteute unaotoka ukeni:

Dalili hizo ni za kawaida kwa wajawazito na huisha mara baada ya kujifungua na zingine huisha tu baada ya siku kadhaa ila kama zitakufanya kuwa na hali mbaya sana ni vizuri kumuona daktari kwa msaada zaidi.
Pia kuwahi au kuchelea kuziona dalili hizi kabla au baada ya miezi husika isikupe presha kwasababu mimba huja tofauti kwa kila mtu na dalili hizi haziwezi kuwa sawa kwa kila mtu au kwa kila ujauzito wako.

Kwa maendeleo ya mtoto tumboni mimba inapokuwa imefikisha miezi mitatu, mtoto anakuwa amekuwa mpaka kufikia urefu wan chi 2 au 3.
Mifumo mbalimbali ndani ya mwili wa mtoto inakuwa tayari imeshatengezwa na ipo tayari kwa kufanya kazi.

0
0
1