Muonekano wa Giza:

Msaada

Pichani wanaonekana mwanamke na mwanaume wakiwa wamesimama na mwanaume akiwa nyuma ya mwanamke na wote washikilia kwa mikono yao yoye tumbo la mwanamke ambaye ni mjamzito.

Mimba ya miezi miwili inakuaje?

Shauku ya wajawazito wengi ni kutaka kujua maendeleo ya mimba toka siku anajigundua kuwa ni mjamzito mpaka siku ya kujifungua.
Ili kufahamu hayo yote kuhusu maendeleo ya mimba kwanzia mwezi wa kwanza mpaka mwezi wa tisa, fuatilia tovuti yetu kufahamu zaidi.
Katika makala hii tufahamu kuhusu mimba ya miezi miwili inakuaje?
Kama una mimba ya miezi miwili tarajia mambo haya yafuatayo:

Kuhisi kichefuchefu:
Kuhisi kichefuchefu, wakati mwingine inaweza kuwa ni hali ya asubuhi tu ila kuna wakati mwingine hali hiyo huwa ni ya siku nzima.

Kutapika:

Kuhisi tumbo limejaa:
Kuongezeka kwa hamu ya kula na kuchagua vyakula vya aina mbalimbali.

Kukojoa mara kwa mara:

Kuhisi mabadiliko ya kitabia:

Uchovu kuliko kawaida:

Matiti kuongezeka ukubwa:

Maumivu ya matiti.

Mate kujaa mdomoni:

Kupata choo kigumu:

Dalili hizo ni za kawaida kwa wajawazito na huisha mara baada ya kujifungua na zingine huisha tu baada ya siku kadhaa, ila kama zitakufanya kuwa na hali mbaya sana ni vizuri kumuona daktari kwa msaada zaidi.
Kwa mimba ya miezi miwili mtoto tumboni japo bado ni mdogo sana lakini baadhi ya viungo vya mwili vinakuwa vinaanza kukua kama vile macho, pua, mdomo na masikio huonekana kwa nje, mifumo mingine ndani ya mwili kama vile mfumo wa upumuaji na mfumo wa fahamu pamoja na ubongo nayo hukua kwa mimba ya miezi miwili.

0
0
1