L and L (Msimu wa Kwanza) - Sehemu ya Nane (08)
“Usilie Lissa sitakutoa machozi siku zote nikiwa na wewe.
You kwangu kama malaika ulieniokoa, I used to think wanawake wameumbwa kuharibu tu dunia until I met you and
believe pia wanawake kujenga dunia.
I think I was born to love you.”
“Love is powerful sikutegemea siku moja nitalisaliti jeshi la polisi nililolipenda tangu utotoni but I cant afford
to leave you, if I will do, i will search in vein for the rest of my life.”
Walikumbatiana na kumalizia siku yao hapo.
Lissa alikabithi ripoti ya kwanza iliyomtetea Leonard Kimat kama raia mwema anayefanya shughuli zake kihalali
na ripoti hiyo ilikubaliwa.
Alirudi kwa furaha sana lakini furaha yake ilipotea mara alipofika nyumbani na kujihisi mgonjwa.
Alihisini uchovu na aliamua kupumzika hata hivyo hali ilizidi kuwa mbaya.
Aliamua kwenda hospitali.
“Hongera una ujauzito.”
Baada ya vipimo majibu yalirudi hivyo kama alivyoambiwa na Daktari.
Hakujua afurahie ama alie lakini kikubwa alimshukuru Mungu kwa uamuzi wake wa kutomripoti Leonard.
“Mwanangu angekuwa na baba muuza madawa ya kulevya aibu yangu ingekuwa kubwa sana.”
Lissa alitoka hapo hospitali na kwenda moja kwa moja nyumbani kwa Leonard aliemkuta akiteketeza fenicha na
baada ya kumaliza walirudi ndani.
“Ile kampuni ya fenicha nimeifunga rasmi leo.”
“Congratulations.”
Leonard alitabasamu tu bila kujibu.
“Congratulation once again.”
“Why.”
“Because you are going to become a father.”
“How… You mean…”
“I’m pregnant.”
“Don’t joke please.”
“I’m serious.”
“Kha Lissa mbona siamini.”
Alisema Leonard huku akimsogelea Lissa na kumshika tumboni akasogeza kichwa chake na kuweka sikio karibu na tumbo
kama vile anasikilizia kitu.
“Lissa unanizalia mtoto?”
“Yes.”
“Ooh my God nikufanyie nini jamani, ujue I didn't trust you when you said hutaniripoti.”
“So umeona mimi nakuchora?”
“Ila ni kitu kikubwa sana na hili la kunizalia… Aaah gosh I cant imagine mwanangu atakuwa mzuri kama mama yake.”
Alisema Leonard kwa hisia huku akimkumbatia Lissa.
Siku kadhaa mbele Lissa alimpeleka Leonard kwa mama yake kumtambulisha na mama yake hakuwa na pingamizi kwani
alivutiwa sana na Leonard.
Na pale walipokuwa wakisubiri kuhalalisha muunganiko wao kanisani pia walisubiria kiumbe kilichoendelea kukua tumboni mwa Lissa.
Inaendelea Msimu wa Pili...
Unaweza pia kusoma: