Mstari mweusi kwenye tumbo la mjamzito
Kuna mabadiliko mengi yanaweza kutokea kwa mama mjamzito katika kipindi cha ujauzito. Moja kati ya mabadiliko hayo ni kujitokeza kwa mstari mweusi kwenye tumbo la mjamzito. Je unafahamu nini sababu ya kujitokeza kwa mstari huo kwenye tumbo la mjamzito?... Soma Zaidi
Mtoto aliyetanguliza makalio wakati wa kujifungua
Kwa kawaida mtoto hutanguliza kichwa wakati wa kujifungua. Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha mtoto kutokutanguliza kichwa wakati wa kujifungua. Katika video hii tufahamu sababu amba... Soma Zaidi
Hali ya Uke kuvuta wakati wa kukojoa ukiwa Mjamzito
Kuhisi uke unavuta ukiwa unakojoa ni moja ya hali ambayo huwakuja wajawazito. Kuna sababu mbalimbali za kawaida na ambazo si za kawaida zinazoweza kusabisha hali hii kwa mama mjamzito.... Soma Zaidi
Jinsi ya kutunza kitovu cha mtoto mchanga mpaka kikatike
Kitovu cha mtoto mchanga, sehemu ya kondo inayobakia kwa mtoto mchanga baada ya kukatwa mara baada ya kuzaliwa. Sehemu hiyo ya kitovu inatakiwa ichukuliwe uangalizi na mzazi mpaka pale kitakapo katika chenyewe. Fahamu kuhusu namna ya kukitunza kitovu cha mtoto mpaka kitakapokatika chenyewe.... Soma Zaidi
Ukuaji na maendeleo ya mtoto mchanga wa miezi miwili (2)
Baada ya kujifungu ni muhimu kufuatilia na kujua ukuaji na maendeleo ya kawaida na ambayo si ya kawaida kwa mtoto. Fahamu kuhusu ukuaji na maendeleo kwa watoto mchanga wa miezi miwili. Kila mtoto huwa na ukuaji wake tofauti kuna wengine wanawahi na kuna wengine wanachelewa.... Soma Zaidi
Kitovu kinachomfunga mtoto akiwa tumboni
Kitovu kujifunga shingoni kwa mtoto ni moja kati ya hali ya kawaida kutokea wakati wa kujifungua. Kwa mujibu wa takwimu kati ya watoto 4 wanaozaliwa mtoto mmoja anaweza kuzaliwa kitovu kimejifunga sh... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi kumi
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi kumi.... Soma Zaidi
Tatizo la kichwa kikubwa kwa watoto (Sababu, Dalili na Tiba)
Tatizo la kichwa kikubwa kwa watoto ni moja ya matatizo yanayowapata watoto katika umri mdogo. Tatizo hili hutokea kutokana na hitilafu za kutoa maji kwenye ubongo kushindwa kufanya kazi vizuri. Lifahamu tatizo hili la kichwa kikubwa kwa watoto, nini sababu zake, dalili zake na linatibikaje.... Soma Zaidi
Dalili za hatari kwa mjamzito
Ni muhimu kwa wajawazito na wenza wao kuzifahamu dalili ambazo zinahashiria hali ya hatari kwa ujauzito ili kuwahi haraka kwenye kituo cha afya kwaajili ya matibabu ya haraka. Uonapo dalili hizi kwa ... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya mwezi mmoja.
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya mwezi mmoja.... Soma Zaidi
Ukuaji na maendeleo ya mtoto mchanga wa mwezi mmoja (1)
Baada ya kujifungu ni muhimu kufuatilia na kujua ukuaji na maendeleo ya kawaida na ambayo si ya kawaida kwa mtoto. Fahamu kuhusu ukuaji na maendeleo kwa watoto mchanga wa mwezi mmoja. Kila mtoto huwa na ukuaji wake tofauti kuna wengine wanawahi na kuna wengine wanachelewa.... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi minne.
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi minne.... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi nane
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi nane.... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi mitatu.
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi mitatu.... Soma Zaidi
Ukuaji na maendeleo ya mtoto mchanga wa miezi mitatu (3)
Baada ya kujifungu ni muhimu kufuatilia na kujua ukuaji na maendeleo ya kawaida na ambayo si ya kawaida kwa mtoto. Fahamu kuhusu ukuaji na maendeleo kwa watoto mchanga wa miezi mitatu. Kila mtoto huwa na ukuaji wake tofauti kuna wengine wanawahi na kuna wengine wanachelewa.... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi saba
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi saba.... Soma Zaidi
Nini cha kufanya baada ya kutoa au mimba kuharibika
Ni muhimu sana kuzingatia mambo haya kama imetokea bahati mbaya ujauzito wako umetoka/umeharibika. Mambo haya ni kwaajili ya kuhakikisha afya yako inaimarika haraka na kuhakikisha usalama wa kizazi na kujiandaa kwaajili ya kubeba ujauzito mwingine. Zingatia mambo haya baada ya mimba kutoka.... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi miwili.
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi miwili.... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi sita
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi sita.... Soma Zaidi
Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi mitano.
Mimba ni mchakato wa asili wa muda mrefu kwa binadamu, inachukua takribani siku 280 au wiki 40 ambayo pia inakadiriwa miezi 9 mpaka mtoto kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kuyaishi mazingira ya nje ya tumbo la mama. Fahamu nini kinachoendelea tumboni kwa mama mjamzito mwenye mimba ya miezi mitano.... Soma Zaidi