Muonekano wa Giza:

Msaada

Angel - Sehemu ya Kumi (10)

“Ahaha... Mi nilikuwa pale wakati unashuka sema tu hakuniona.”
Rebeca akajibu.
“Kumbe? Tatizo simu ningekuwa nayo, hata nisingehangaika.”
“Ndiyo hivyo.”
Rebeca akajibu kisha akamchukua Angel na kuondoka nae.
Wakafika mpaka mahali alipokuwa akiishi Rebeca maeneo ya kinondoni na ndiyo sehemu aliyokuwa akifanyia kazi yake ya ualimu wa sekondari.

Kiukweli mahali alipokuwa akiishi mwanamke huyo palikuwa ni pazuri asikwambie mtu.
Ilikuwa ni nyumba nzuri sana ya kisasa iliyokuwa na huduma zote muhimu kama vile maji, umeme n.k
“Karibu sana kwangu Angel.”
Alimkaribisha kwa bashasha kubwa sana ndani.
“Asante sana shangazi.”
Angel akajibu kwa sauti iliyojaa upole na unyenyekevu.
Wakaingia ndani na kuongozana mpaka katika chumba kimoja hivi ambapo Angel alitakiwa kuishi mule...
“Chumba chako hiki hapa... Umeona?
Utakuwa ukilala humu.”

Akaongea Rebeca baada ya kumfikisha Angel katika chumba hicho. “Asante sana shangazi yangu.”
Akajibu Angel kisha akaingia ndani ya chumba kile ambacho tayari kilishaanza kuwa na giza jepesi baada ya jua kuzama kwani ilishakuwa jioni sasa.
Rebeca akaondoka zake kwani ye alishia mlangoni.

Alichokifanya hapo Angel ni kufanya ukaguzi wa chumba kwanza.
Alitafuta swichi mpaka akaiona kisha akabonyeza batani kwenda ON na balbu yenye mwanga mkali na mweupeee ikawaka na kung'arisha chumba kizima.
Hapo ndipo akaanza kukikagua kila kona kuanzia chini ya godoro, uvunguni mwa kitanda na maeneo mengine yoote.
Alipojirizisha ndipo akatafuta sehemu ya kutundika begi lake.
Alipouona msumali akalitundika na yeye kujibwaga kitandani.
Kutokana na uchovu mkubwa wa safari aliokuwa ameubeba akajikuta akianza kusinzia sinzia vile!

Gaflaa!
Mlango ukasukumwa kwa nguvu na kuingia mwanaume flani mwenye kitambi cha uhakika huku tumbo lake kubwa likiwa nje!
Haraka Angel akakurupuka kitandani na kukakaa kitako kitandani.
Yule mwanaume mwenye umri ambao siyo chini ya miaka 40 alifunga mlango kwa funguo kwa ndani kisha ufunguo akaurusha uvunguni.
“Mmmh!!”
Angel akaguna na kutaka kupiga mayowe lakini yule mwanaume akamwahi na kumziba mdomo.
“Unataka kufanya nini mtoto ee? Hebu tulia!”
Akazungumza kwa sauti nzito yule mwanaume huku akizidi kumshika vyema Angel mdomo ili asije akapiga mayowe.
“Staki Staki stakiiii.”
Akaongea Angel kwa sauti ambayo hata hivyo haikwenda popote.
“Sasa sikia... Sijaja humu kwa utani sawa? Nimekuja kwa shari.. Ukishindwa kutoa kwa shari utatoa kwa lazima.”
Akakoroma yule mwanaume kwa sauti yake nzito yenye kibesi.
“Nasema tena stakiii...”
Akazidi kuleta ubishi Angel kwa kuilinda ngome yake ambayo bado mpya kabisa.
“Taaaaaaaassss!!”
Kofi zito likakubali kwenye shavu la Angel mpaka akadata na kutulia kwa sekunde mbili tatu akisikilizia jinsi maumivu yanavyosambaa kwa kasi kichwa kizima.
“Hebu toa sauti uone cha moto.”
Yule mwanaume aliongea huku akiwa amemwachia na mdomo kabisa.
Angel hakuthubutu kutoa sauti hasa pale alipogundua kuwa mwanaume yule alikuwa na kisu mfukoni.
Hilo aliligundua baada ya kuona akikitoa.
“Bweka uone! Unaona hii? Nakutia tumboni mpaka na utumbo nje!”
Akazidi kumtisha Angel yule mwanaume...
Angel akakosa neno na kubaki akitetemeka kwa hofu mwili mzima.
“Vua nguo.”
Akasema yule mwanaume kibabe.
Angel akakaa kimya kama hakusikia vile.
“Vuaa nguoo... Kudadadeq!”
Safari hii yule mwanaume akaongea kwa ukali kisha kwa mkwara zaidi akachoma godolo kwa kisu mpaka kisu chote kikazama bara bara kabisaa!
Mbona Angel alivua nguo fasta, chezea kufa?
Yule mwanaume baada ya kuona Angel katii amri nae akasimama na mwili wake mkubwa kama tembo kisha akavua pensi yake moja aliyokuwa ameivaa.
Kidume akabaki kama alivyozaliwa.
Halafu alikuwa amebarikiwa mkonga huo duu! Punda cha mtoto.

Angel tumbo lilimpasuka paah!
Pindi alipouona mkonga ule…
Aloo alihisi tumbo la kuendesha linataka kuchukua nafasi yake.
Angel aliutizama mkonga wa yule mwanaume ulivyo mkubwa, halafu akaitizama na papuchi yake ilivyo ndogo kama kashimo ka sungu sungu dadeeq..
Akatizama chumba kizima ambacho kilikuwa kimefungwa haswaa yaani dirisha liilee mbali kabisa karibu na bati huko aisee!
Akakosa namna mtoto wa kike hivyo akakaa kusubili kifuatacho.
Yule mwanaume baada ya kumaliza kuvua pensi lake akamsogelea Angel kwa karibu zaidi kisha akamweka kinganja kifuani na kumsukuma ili alale chali, Angel akaleta ubishi.
Hakutaka wasumbuane pale pale akampiga kabali ya nguvu kisha akamlaza chali kwa lazima.
Nae akaja juu na kumlalia...
Hapo ndipo zikazuka harakati za ubakaji.
Angel alipigania sana kulinda uchi wake kuingiliwa na mtu huyo yaani walisumbuana saanaa Angel alikuwa hatulii kabisa kitandani Kukuru kakara mara gafla yowee!!
“Mamaaaa!! wee!! Nakufa! nakufa! Nakufa!”
Angel alipiga yowe kali lililoashiria alipatwa na maumivu makali...
Mara gafla tena!!
“Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Ngo!”
Mlango ukagongwa kwa fujo na mfululizo kama mara nane hivi...
“Angel... Angel... Angel.. Ngo! Ngo! Ngo! Ngo! Ngo!”
Gafla Angel usingizi ukakata!

Daah!
Kumbe ilikuwa ndoto tu?
Yaani muda ule alipoanza kusinzia sinzia, alilala moja kwa moja, na ile kuona kama mtu aliingia na kuanza kum'baka ilikuwa ndoto tu!
Ndoto ile ilikuja kukatika pale alipopiga makelele kwa nguvu mpaka sebleni wakasikia ndipo Rebeca akaja mbio na kuanza kugonga mlango jambo lililopelekea Angel kutokwa na usingizi.
Rebeca aliendelea kugonga mlango huku akiita mara kadhaa mpaka Angel akaitika.
“Shangazi.”
Angel baada ya kuitikia yeye akaita tena!
“Una nini wewe?”
Akauliza kwa sauti iliyojaa wasi wasi.
“Hakuna tatizo shangazi wewe nenda tu.”
Akajibu.
“Ati, nini? Hakuna tatizo huku ulikuwa unapiga mayowe?”
Akaja juu Rebeca.
“Ilikuwa ni ndoto tu shangazi.”
Angel akatoa jibu lililomtia kicheko shangazi yake.
“Hahaha...! Ndoto mchana wote huu? Hebu amka huko uje huku sebleni.”
“Sawa shangazi.”
Angel akajibu huku akiamka kitandani na kuanza kujiweka sawa.
“Mmmh! Ndoto gani hii tena jamani?”
Alijiuliza Angel wakati huo akiusogelea mlango.
Hakupata jibu kuwa ndoto ile ilikuwa na maana gani?

Akafika mpaka sebleni, hapo aliwakuta binamu zake wanne Rebeca.
Mjomba wake pamoja na wafanyakazi wawili wa ndani, mmoja akiwa ni wa kiume na mwingine ni wa kike.
Kwa heshima kubwa Angel akamsalimia mjomba wake pamoja na binamu zake kisha wale wafanya kazi ambao kiufupi ni kama lika lao lilikuwa ni moja.
Chakula cha usiku kilikuwa kimekwisha andaliwa tayari na kilikuwa mezani hivyo walikuwa wakimngoja Angel aje ili waanze kukila.
Dakika 15 na zaidi zikakatika ndipo harakati za kupata Dinner/chakula cha usiku zikakamilika.
Kila mtu akawa ametosheka.

Sehemu 9 Sehemu 11
0
0