Muonekano wa Giza:

Msaada

Angel - Sehemu ya Kumi na Nane (18)

Katika hali ya kushitukiza Angel alikunja mguu wake wa kulia kwa nguvu kisha akausukuma kwa nguvu tena kwenda mbele akiwa amelenga katika eneo la kifua cha mwanaume yule aliekuwa bado kapiga magoti kule kwenye eneo la kumi na nane akikitizama kipapa cha Angel kwa matamanio makubwa mno!
Unyayo wa mguu wa Angel ukaenda kutua bara bara kabisa kwenye kifua cha mwanaume huyo kisha akausukuma kwa nguvu mpaka akaporomoka kitandani na kwenda kuanguka kwa nguvu sakafuni…
Puuuuh! Kama furushi.
Chap Angel akanyayuka kama umeme kisha akatungua taiti yake iliyokuwa juu ya kamba mule mule chumbani kwake kisha akaivaa fasta!
“Hata mke wangu mwenyewe hajawahi kunifanyia huu upuuzi je? Wewe umeufanya ukiwa kama nani? Ee?”
Mwanaume huyo akanyayuka huku akiwa amejawa na hasira kali iliyoambana na mfoko wa aina yake.
“Ah! Sasa kama una mkeo kwanini unahangaika baba?”
Akauliza Angel.
Hakujibu zaidi ya kupiga hatua moja kubwa kumsogelea Angel akijaribu kumshika...
Akateleza!
“Sikiliza baba, kwa usalama wako niache.”
Angel akasema.
“Nikuache? Ahaa! Kumbe wewe ni jeuri ee? Subili.”
Akajibu yule mwanaume kisha akakisogelea kitanda na kuchukua suruali yake na kuingiza mkono ndani moja kati ya mifuko ya suruali hiyo huku akimtizama Angel usoni ambae nae alikuwa akimtizama.
Mara mkono ukatoka na bastola kisha akaielekeza kichwani kwa Angel...

“Aaaagh!!”
Angel akapiga ukelele wa uoga!
Wewe!
Akamtuliza!
“Shiiiiiiiiiiiii…! Nakupasua sasa hivi…
Funga m’bakuli wako na urudi hapa harakaa!”

Angel aliogopa sana baada ya kugundua mtu yule alikuwa na bastola.
Mbaya zaidi alikuwa ameielekeza kichwani kwake na kumuahidi kifo.
Angel akaamua kurudi kitandani yeye mwenyewe akalala chali tena haraka sana.
“Usirudie tena kuniletea huo ujinga nakuua.”
Aliongea mwanaume huyo huku akiweka bastola yake pembeni.
Bila kupoteza muda akakishika kitaiti cha Angel na kukivuta kwa nguvu mpaka kikatoka.
Mtoto wa kike akabaki mtupu.
Angel hakutaka kuamini kama ni kweli anakwenda kuipoteza bikra yake aliyokuwa akiipenda kuliko kitu chochote hapa duniani, na mbaya zaidi anakwenda kuipoteza bila ridhaa yake.
Doh!
Machozi ya uchungu yalianza kumtoka Angel pale kitandani.
Kila alipofikiria kile kinachokwenda kutendeka tumbo halikukosa kumkata uchungu mkali wenye maumivu ya aina yake.
Yule mwanaume akaanza upya tena.

Akalisogelea eneo lililokihifadhi kipapa cha Angel na kuanza kazi rasmi.
Hatua ya kwanza Angel alishtuka na kujivuta mbele baada ya kuhisi kitu kikigusa gusa eneo lake la hatari.
“Umeanza ee?”
Alikoroma yule mwanaume Angel akatulia tulii.
Hatua ya pili mwanaume yule alifanikiwa kabisa kukita kichwa kwenye kipapa cha Angel na sasa ilibaki kupush tu apasue mwamba!
Bikra hiyoo inakwenda kutolewa!
Akajikusanya vizuri na kupush kwa nguvu zake zote!
Aloo!
Hakufanikiwa kwa mara nyingine tena.
Kilichofanyika ni kwamba wakati anaanza kujisukuma Angel akamkwepa jambo lililopelekea mwanaume huyo akabake godoro!
Papo hapo Angel akachomoka kwa kasi na kuiwahi bastola ya mwanaume huyo akaiokota na kuikamata mkononi kisha akawa anasogelea dirishani.
“Acha weweeee!”
Alipayuka mwanaume huyo lakini haikusaidia kitu Angel aliitupa nje bastola hiyo tena bila hata kujali.
“Wee! Kahaba manina zako unatupa nje hiyo kifaa unajua bei yake?
Nakuuliza bei yake unaijuaa?”

We! Huyo mwanaume aliwaka kama mbogo.
Akamsogelea Angel kwa hasira kisha akamtupia kofi moja lenye kilo za kutosha lakini Angel aliwahi kuliona mapema mno akalikwepa!
Ganja likapita hewani kwa kasi huku likipiga na milusi.
“Fyuuuuuuu”
Mwanaume huyo hakutaka kushindwa.
Akaja na kofi nyingine tena iliyotumwa kwa ufanisi wa kipekee.
Hilo nalo pia aliliona lakini alipojaribu kulikwepa akashindwa likampata barabara kabisa maeneo ya kichwani karibu na eneo la sikio!
“Taaaaaaaaas!!!”
Aisee!
Kofi lilikubali vibaya mno mpaka Angel alikata moto papo hapo na kuanguka chini kama gunia la viazi.

“Mmmh! Hilo ni kofi au kitu gani?”
Rebecca aliguna kisiri siri chumbani, ni baada ya kulisikia kofi hilo hata akaingiwa na mashaka.
“Hee! Angel akijifanya kichwa ngumu na kiburi watamuua huyu mtoto maana siyo kwa kofi hilo.”
Alijisemea Rebecca huku akinyanyuka kitandani kwake.
“Hebu nisogee huko nisikie nini kinaendelea?”
Akajifunga taulo vizuri kisha akatoka chumbani kwake kwa mwendo wa haraka haraka mpaka kwenye mlango wa kuingilia kwenye chumba cha Angel.
Akasimama hapo ili asikilize kinachoendelea huko ndani.
Gafla! Mlango ukafunguliwa kwa fujo huku akifuata mwanaume huyo akiwa na pensi pekee.
“Haaa! He, kuna nini?”
Rebecca akauliza kwa kubabaika huku akianza kujiskia aibu maana alianza kuhisi wenda mwanaume huyo atafikiria kuwa yeye alikwepo hapo muda wote.
“We mwanamke nawe hebu uwe unajielewa basi ndiyo mambo gani haya bwana? Aaah!”
Yule mwanaume alimfokea Rebecca huku akimpita kwa spidi ya aina yake.
“John kuna nini kwani jamani? Au nimefanyaje tena mie?”
Rebecca aliuliza kwa sauti iliyojaa taharuki lakini hata hakujibiwa na wala yule mwanaume hakugeuka kumtizama zaidi ya kuendelea na safari yake.
“John! John! John! John!”
Rebecca alimwita mara kadhaa mwanaume huyo lakini wala hakumwitikia zaidi ya kwenda tu!
“Kuna nini?”
Alijiuliza Rebecca huku akiwa kashikilia kifua chake.

Wazo la haraka haraka alilolipata Rebecca ni kuingia chumbani kwa Angel kuona nini kimetokea?
Bila kupoteza muda akasukuma mlango na kuingia ndani.
Aisee!
Anamkuta Angel akiwa kalala sakafuni huku damu zikimtoka puani ovyo ovyo.
“Heee!!”
Rebecca alitahamaki, hali aliyokuwa nayo Angel kwa wakati ule ilimwogopesha sana alianza kujiuliza nini kimesababisa Angel atokwe na damu puani tena baadala ya kwenye maungo yake ya uzazi?
Akajiuliza halafu jibu hakulipata.
“John nae ameondoka kwenda wapi na usiku huu?”
Bado Rebecca aliendelea kujiuliza bila kupata jibu sahihi.
Akaamua ampigie John simu kwanza.

Baada ya kupiga anasikia simu inaita nyuma ya nyumba tena usawa wa dirisha.
“Hiyo simu inalia hukuu? Au masikio yangu?”
Akajiuliza Rebbeca huku akisogelea dirisani kuhakiki.
Ni kweli, simu ilikuwa inaita kule kule lakini kwa wakati huo John tayari alishafika huko na kuiokota pamoja na Bastola yake.
Akataka kuipokea lakini Rebecca akawahi kuikata.
“Unafanya nini huko nyuma na usiku wote huu?”
Rebecaa akauliza huku akiwa anachungulia dirishani.
“Unajifanya haujui wakati wewe ndiyo chanzo?”
John akajibu kwa ukali.
“Jamani mimi ndiyo chanzo cha wewe kuwa huko na giza hili?”
Akauliza Rebeca.
“Subili nije huko ndani.”

Sehemu 17 Sehemu 19
0
0