Hello! Karibu HASCAVELA

Muonekano wa Giza:

Msaada

Dunia Ya Pili - 12

Nilishituka sana nikageuka kwa kasi nyuma.
“Mbona unanipiga?”
Niliuliza ilihali nikiwa nimepatwa na ghadhabu.
“Mbona umeduwaa sana mrembo vipi?… Kamata hii kwanza.”
Aliongea huku akinipa chupa ndogo ya value.
Niliipokea.
“Sasa ndiyo unipige? Umenishtua ujue.”
“Potezea mrembo, halafu kuwa makini na hotuba huyu ndiyo mkuu wetu ujue?”
“Naelewa.”
“Kuwa makini sasa.”
“Usijali dear.”

Hotuba ilikuwa inaendelea, kiumbe Soul aliendelea kuuzungumzia kwa mapana mpango wake mpya wa kuingiza pombe mpya duniani, pombe itakayokuwa na mchanganyiko wa sumu hatarishi ilegezayo viungo vya mwili, humo yakiwemo pia na madawa ya kulevya, madawa yakayoleta athari kubwa ya kiakili wa watumiaji.
Mpango wa Soul katika misheni hiyo ni kuweza kuiteka dunia kwa kuingiza misaada ya kinafiki pindi kundi kubwa la watu watakapokuwa wameathirika na pombe hizo, misaada hiyo itaambatana na kampeni maarufu ya yeye kuweza kuiteka dunia nzima kuwa chini yake.
Katika agenda ulizuka mjadala, mjadala ambao ulianzia kwenye suala zima la utengenezaji wa pombe yenyewe.
Baadhi ya watu waliokuwepo walitoa ushauri ya kuwa suala la kuanzisha toleo jipya la pombe na kuanza kutangaza hadi pombe hiyo ishike soko duniani ingechukua muda mrefu sana na kungekuwa na upotevu wa muda kwa swala dogo kama hilo, hivyo wakapendekeza kwamba ilitakiwa iandaliwe sumu yenyewe ili ianze kuchanganywa kwenye pombe ambayo tayari ilishashika soko duniani.
Waliitaja kabisa pombe yenyewe, ni pombe kali ya bei ndogo ambayo inapendwa zaidi na vijana hata humo mitaani ipo inasemekana mmiliki wa kiwanda kinachotengeneza pombe hizo na kuzisambaza ni mshirika mkubwa sana kwa Soul.
Wazo hilo lilipita, lakini ukazuka mjadala je? Kwa sisi washirika tutaiepukaje athari ijayo kupitia pombe hizo hasa kwa watumiaji wa pombe ambao ni washirika?
Mjadala ukajibiwa kuwa pombe hiyo itatoka toleo la pili ambalo lita uzwa bei ya chini kuliko toleo la awali na ndiyo toleo litakaloungwa sumu hiyo.
Basi agenda ikapita kuwa kuna pombe fulani lingetoka toleo jipya la pombe hiyo na ndiyo itakayokuwa na sumu hatarishi ya kulegeza viungo na kuchosha mwili pia pombe hiyo ingekuwa na mchanganyiko wa madawa fulani ya kulevya madawa ambayo ni hatari sana kiakili.
Pia pombe ilipangwa kuongezwa Alcohol ili watu wakinywa walewe haraka na mapema zaidi ili ipendwe maradufu.
Yalizungumzwa mengi sana katika mkutano ule, ilipangwa mikakati mingi ikiwemo kudhoofisha baadhi ya uongozi makanisani uongozi ambao ulionekana kuwa ni kichomi kwao,walipanga kuwafyekelea mbali baadhi ya madereva wa vyombo vya moto mabarabarani ambao walikuwa wakitembea na balaa kwao, pia walipanga kuleta uchonganishi kwa baadhi ya viongozi wa kimataifa ambao walionekana kuyapinga kwa kiasi kikubwa matakwa yao.
Pia walipanga kuongeza nguvu ya uasi na ugaidi barani Afrika hususan nchi za Afrika mashariki, walipanga pia kufanya gunduzi kadha za migodi ya dhahabu nchini Tanzania ili kuongeza uasi, uhuni, na matendo mengine maovu ya kibinadamu yenye kuletwa na nguvu ya pesa.
Mwisho wa mkutano huo ilifata sherehe kubwa sana siku ile, ilikuwa ni sherehe kubwa mno sherehe iliyopambwa na kila aina ya pombe, vyakula na kila aina ya starehe.
Watu wakala, kunywa na kusaza japo mi kwa muda ule pombe sikupaparikia.

Baadae Samweli akinisogelea na kuniambia kuwa tuondoke turudi mjini.
“Mbona mapema sana Sam?”
Nilimuuliza.
“Twende mara moja tutarudi.”
Alisema.
Sikumpinga tulitoka nje ya ngome ile, kitu kilichokuwa kikiniogopesha ni ulinzi wa pale nje tu, ndani ya ukumbi walikwepo watu lakini nje ngome hiyo inalindwa na vitu vya ajabu sana.
Sasa ile kutoka tu mara tulizingirwa na kundi la misukule, wakaanza kutusindikiza huku wakiongea rugha gongana ambayo hata ungeisikiliza vipi kamwe usingeweza kusikia kile wakizungumzacho.
Tulifika mpaka mahali tulipoegesha gari yetu, milango ilifunguka yenyewe kila mtu akaingia kupita mlango wake.
Milango ikajifunga pindi wote tumeingia ndani ya gari.
Sam akaliwasha sasa wakati anaingiza gia kabla hatujaanza kuondoka kuna kitu nilikiona ambacho kilinishitua hadi uti wa mgongo.
Nilimuona Meddy akiwa mmoja kati ya wale misukule walinzi kwenye ile ngome, moyo ulilipuka kwa mshituko uliochanganyika na uchungu pamoja na uoga ndani yake.
Nilitamani nimwite Sam nimuulize lakini nikajikuta napatwa na kigugumizi hadi tunaondoka baadae tukiwa njiani tunaelekea mjini nilisahau kumuuliza japo nilikuwa na lengo hilo.

Tulifika mpaka mjini huko tulinyooka moja kwa moja mpaka Leopard Bar. Na ikawa mara yangu ya pili tena kuingia bar hiyo japo mara ya kwanza kufika hapo sikuitambua kuwa inaitwa Leopard.
Huko Sam alichagua egesho zuri akaegesha gari lake kisha tulishuka na kuingia bar.
Huko tukatafuta sehemu tulivu tukaketi wawili.
Baadae mhudumu mwenye kuvalia nguo ya ndani pekee alifika kutusikiliza.
“Niletee chupa tatu kubwa za wine nyekundu na Grand Malta kubwa tatu, msikilize na huyu pia.”
“Mimi niletee Don moja na Grand Malta kubwa tatu pia.”
Mhudumu huyo aliondoka baadae alikuja na kapu la vinywaji tulivyomwagiza pamoja na glasi akalitua kapu la vinywaji mezani akazipanga chupa kama tulivyoagiza baadae akatufungulia na kutumiminia kabisa kwenye glasi kisha tulianza kunywa taratibu huku tukiendelea kuburudika na mziki laini wa kiamerika.
“Leylah una kichwa we mrembo?”
“Kwanini?”
“Unakunywa hizo pombe na unazimudu?”
“Ahahaha! Ingawa sinywi nyingi huwa najikadiria sana.”
“Hata kama… Unajua funda moja ya hiyo pombe ina alcohol ngapi?”
“Sasa si ninachanganya na kinywaji laini hiki jamani?”
“Hahahaha! Asikudanganye mtu… Hii dhana imejengeka sana hata huko duniani hasa Tanzania vijana wamekuwa na imani kuwa ukichanganya pombe kali na kinywaji kitamu kama vile energy, soda na vingine vingi vitamu hupunguza makali ya pombe…. Sikia wewe! Hii ni mbaya sana kwa sababu unaweza kunywa pombe nyingi pasipokujitambua kwa sababu ya ule utamu ingali alcohol inabaki palepale, na kitakachofata hapo ni kulewa hadi siku inayofuata unaugua.”
“Kumbe!”
“Sasa je?… Hujiulizi kwanini wao walitengeneza kali… Maana ake walitengeneza kali uinywe kwa adabu kwa sababu hiyo siyo Serengeti lite.”
Sam aliliongelea kwa upana sana hadi akaniambia ni mara mia uchanganye kwa pombe kwa pombe au maji, lakini siyo pombe kwa sukari kuna madhara ndani yake japo huwezi kuyaona mapema baadala yake yatakukuta mbeleni hususan uzeeni.
Tuliongea mengi mwisho mada hiyo ilifika tamati, baadae Sam aliibua mada mpya tena wakati ule tunaendelea kunywa.
“Leylah.”
Aliniita, nami nilimwitikia.
“Abee…”
“Natambua ya kuwa ni mjane sasa hivi mumeo kafariki na haikupasi kwa umri huo kutokuwa na bwana… Kingine tambua unaelekea kuwa bilionea chipukizi wa kike Tanzania. Kwanini usifanye maamuzi ya kuwa na bwana?”

Nilikosa cha kumjibu kwani alinishitukiza wakati ambao sikuwa nimejipanga kuliongelea suala hilo hivyo sikuwa nimejipanga.
“Leylah.”
“Abee.”<./i>
“Mbona haujibu… Au nimekosea kukuuliza hivyo?”
“Wala haujakosea.”
“Ila?”
“Ni ghafla sana imekuwa… Mimi mwenyewe natambua ya kuwa napaswa kuwa na bwana lakini si haraka kiasi hiki, wanandugu wanaweza kufikiria vibaya ujue.”
“Hapana! Tambua yule keshakufa hivyo hahusiani tena na maisha yako kwa namna yoyote hivyo unao uhuru wa kufanya maamuzi yako binafsi bila kufikiria nyuso za watu zitaonekana vipi mbele ya macho yako.”
Sam aliendelea kunishawishi, mwanzo sikumwelewa dhumuni lake lakini baadae nilikuja kumwelewa nikajua dhamira yake ni ipi?
Kumbe yeye alinitaka mimi.
“Mmh! Sam samahani labda kwa kukumwaza kama nitakukwaza,ila sipo tayari kimahusiano kwa sasa, bado nina uchungu wa kumpoteza mume wangu tena kwa kifo tatanishi bado moyo una mkwaruzo mkubwa sana hivyo sitokuwa na amani tena na mahusiano mapya labda kwa siku zijazo.”
Licha ya jibu lile Sam aliendelea kunimbembeleza, akaniogelesha kwa maneno matamu sana, huku tukinywa pombe, mwanzo nilishikiria msimamo wangu lakini baadae pombe ilinitawara ikanitoa aibu na wasiwasi ikanipa ujasiri nikajikuta nimemkubalia Sam pasipo kuwa na uelewa.

Sam kuona nimemkubalia alifurahi sana tuliendelea kubwia ulevi pale, mwisho pombe zilipanda hata zikampa hisia za mapenzi.
Baadae Sam alihama kiti akasogea karibu yangu alianza kunifanyia vituko vya ajabuajabu mwisho nami alinipandisha mashetani, nikahisi mwili unapatwa na msisimko wa aina yake.
Vidole vya Sam vilivyopita mapajani mwangu vikatembea kisiri siri mpaka maeneo ya mapaja yangu vilifanya nipagawae.
Niliishika mkono wa Sam nikausokomeza ndani ya gauni langu kwa upande wa chini nae akaonesha ushirikiano akaupeleka mkono wake na kupashika mahali nilipopakusudia pashikwe nae kwa vidole vyake.
Akaichambua chambua bustani yangu changa iliyoanza kuchipua baada kufywekwa siku si nyingi zilizopita.
Kwa zoezi lile nilihisi unyevu mwingi ukitoka kwa wakati mmoja na kupaloanisha tele.
Nae vidole vikapata utelezi kimoja kikabisha hodi ndani, raha niliyokutana nayo niliihisi haina utofauti na ile ya pepo!
Mara nikawa nahisi kama wadudu wakianza kutembea eneo la usichana wangu wadudu waletao mwasho wa kukarahisha, shaukuu ya kufanya tendo la ndoa ikanitawala ubongoni.
Nikamtizama Sam kwa jicho legevu, nae akausogeza mdomo wake shavuni kwangu akanibusu shavuni busu murua kabisa kisha alitoa ulimi wake nami nikaupanua mdomo wangu tukaanza kunyonyana ndimi saa hiyo akiendelea kuuchezea usichana wangu kwa ustadi wa hali ya juu.
Nilipagawa mara dufu, hata uwezo wa kufikiri ukapungua.
Hata nilivyovuliwa nguo yangu ya ndani sikuona, hata wakati gauni langu linapandishwa juu sikuhisi, ila nilikuja kurudiwa na ufahamu pale nikiwa nimebananishwa ukutani mguu wangu mmoja ukiwa umenyanyuliwa huku Sam akiwa akinikatikia kwa nguvu mno!
Mara nikahisi vitu vyenye joto kali vikipita kwa sipidi kwenye uschana wangu kisha vikapotelea mwilini mwangu nami nikahisi raha kuu ya dunia kunako usichana wangu.
Sam alinipiga busu la nguvu kisha alijitoa mwilini mwangu, mguu wangu akaushusha kisha akanipa nguo yangu ya ndani nikavaa na kama ilivyo desturi ya bar ile mambo yote yalifanyikia palepale ukumbini.
Baada ya kuwa nimevaa nguo yangu ya ndani nimeweka sawa gauni langu, wakati huo akiwa amerudi mezani, nami nikawa na wazo nirudi pale, kitendo cha kunyanyua mguu tu, nikafumbua macho na kujikuta nimelala chali kitandani huku mguu mmoja nikiwa nimeusimamisha kwa namna ya kukunja nne.

Nilishusha pumzi ndefu na wakati huo tayari kulishakucha na majogoo walikuwa wakiwika mji mzima wa Iringa.
Wakati nikiwa najiskilizia ufahamu urudi baada ya kutoka usingizini, nilipata hisia nikajihisi sehemu zangu za siri yaani sehemu ya haja ndogo imeloa.
“Mmh! Inamaana nimejikojolea?”
Nilijiuliza pasi na kupata jibu.
Ikabidi nipeleke mkono na kupashika, nilishangaa kuona kuna utelezi telezi.
Mmh! Haraka nikatupa macho mlangoni, ooh! Kumbe nililewa nikalala bila kubana mlango!
“Haaa! Inamaana nimebakwa?”
Nilijikuta nimepayuka kwa sauti ya juu kabisa hata aliekuwa mhudumu wa dhamu ya ufagiaji akasikia mara moja akaja na kwa kuwa mlango haukuwa umebanwa aliingia nao mzimamzima mpaka ndani.

0
0